Wale wateja wetu wa Plus Size tumesikia kilio chenu na sasa Zurii Fashion & Beauty Boutique kuna Stock Mpya kwaajili yenu Plus Size ladies (wale mlio jaliwa neema hahaha). Size 14-20 sasa zinaptikana ZuRii. Kuna Nguo nzuri sana na quality nzuri sana za kazini, kanisani na za mitoko. Tuko Sinza Legho, nyuma ya Rombo Green View Hotel, Dar Es Saalm. Whatsapp au tupigie +255659189769 kwa maelezo zaidi. Karibuni sana