Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ & BONGO:- BAADA YA KUPEWA ZA USO NA SINTAH JLO WA BONGO SASA MSANII UYU MBEBE AMRUKIA SUMA MNAZARETI!!

$
0
0

Nakomaa na jiji ndiyo nyimbo yake inayofanya vizuri katika radio station pamoja television hapa nchini.Muite Shilole Kiuno ambae pia ni staa wa tasnia ya bongo movie.
Shilole ambae aliulizwa na Team tizniz juu ya Suma Mnazaret kuimba katika nyimbo yake yaUmechelewa aliyoshirikiana ana Richard na katika wimbo huo suma alisema"Eti umeenda marekani soon utafanya nyimbo mpya na Jlo kwa muziki gani wewe umechelewa"Team tizniz ikamuuliza Shilole  anazungumziaje hili?
Shilole alisema"Kijana mdogo huyu anatafuta umaarufu kupitia watu maarufu kama sisi.Hivyo sina time ya kumjibu chochote aendelee kujipanga kivingine.
Source-Tizniz

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>