$ 0 0 Stanislas Wawrinka.MCHEZA Tenisi kutoka Uswisi, Stanislas Wawrinka ametwaa taji la Grand Slam, kwa kumshinda Rafael Nadal kwa seti 6-3, 6-2, 3-6, 6-3 katika mechi ya fainali ya michuano ya Australian Open hivi punde.Rafael Nadal.