Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA RAPING LIVE THAT P-SQUARE KUMBE NAYE NI MBURULAZZZZZ!!

$
0
0



@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:HERE WE GO AGAIN, P-SQUARE ALIPOHOJIWA KUHUSU KUMJUA SUPER SINGER WA BONGO DIAMOND PLATZNUM, AMEDAI HAMJUI NI NANI NA WALA HAKUMUALIKA KWENYE HARUSI YAKE, SOME OF US WABONGO HAVE FIND THAT TO BE VERY AMUSING AND FUNNY, UKWELI NI KWAMBA IMEMSHUSHA SANA HADHI P-SQUARE KWAMBA UWEZO WA KUFIKIRI NA KUELEWA NI MDOGO SANA NA HUENDA ANA ELIMU NDOGO SANA!! RAIS WA DUNIA OBAMA ALIPOKUJA HAPA BONGO NENO LAKE LA KWANZA PALE IKULU BONGO LILIKUWA HASHEEM THABEET, AKITUFAHAMISHA WABONGO WOTE KWAMBA ANAZO HABARI ZA BONGO NA KWAMBA ANAMJUA NBA STAR AMBAYE NI MBONGO, MEANING KWAMBA EITHER AMESOMA AU AMEKUWA BRIEFED NA WASADIZI, KWA A SUPER STAR WA LEVEL YA P-SQUARE KUSEMA HADHARANI KWAMBA HAMJUI DIAMOND NI NANI NI DALILI YA UWEZO MDOGO SANA ALIONAO KWENYE KUFIKIRI NA KUELEWA NA UWEZO WA WASAIDIZI WAKE WOTE HUENDA NI MDOGO SANA, NO WONDER AMEOA MAJUZI TU HATA WIKI MBILI HAZIJAPITA LAKINI TAYARI ANASHOBOKEA MBEBE WA KIBONGO ETI AWE MKE WAKE WA PILI, JAMANI KWA PROMOTERS MNAOTULETEA HAWA WASANII TAFADHALI SOMETIMES MUWE MNAWAULIZA KAMA WANA ELIMU JAPO KIDOGO, WAJE WATUBURUDISHE NA MUZIKI LAKINI PIA WATUELIMISHE KIDOGO KWAMBA KICHWANI NI WAZIMA SIO KAMA HUYU JAMAA NI BURE KABISAAA!!
- NIMEONA WENGI WABONGO WAKISHANGILIA, NASHANGAA WHAT IS THERE CHA KUSHANGILIA? DIAMOND NI SUPER STAR WALA HABAHATISHI BINAFSI NINA UZOEFU SANA NA FANI YA MUZIKI NI KWAMBA MWANAMUZIKI ANAITWA SUPER STAR ANAPOWEZA KUPIGA CONCERT PEKE YAKE AKAJAZA UWANJA AU UKUMBI BILA KUTEGEMEA WANAMUZIKI WENGINE, DIAMOND DOES THAT ALL THE TIMES, SASA KUJIDAI KWAMBA HUMJUI NI KUJIDHARAULISHA MWENYEWE KWAMBA HAUKO CURRENT NA MAMBO YA DUNIA, ANGEKUWA ANGEJUA KWAMBA DIAMOND IS A COCACOLA MAN NA AMEWAHI KUKWAMA UWANJA WA NDEGE WA NAIROBI AKAKODIWA NDEGE MARA MOJA NA COCACOLA THAT KATIKA AFRICA NI HISTORY AMBAYO HATA YEYE HAIJAMTOKEA, SO PLEASE RESPECT!!
- LE MUTUZ




  • Farha Abrahamme leo.nimekupa 100% nilitamani niseme maneno kama haya bro!asante kwa kuwakilisha mtazamo wako
  • Idda MushiWashamba wanaounga mkono P Square kutomjua Diamond.le Mutuz umenena!
  • Mfaume Uledi MfaumeKweli kaka hata mie nilishangaa ila ni siasa za vyombo vya radio, btwn clouudsvseast africa, but to be honnest diamond yupo juu, ila wabongo wengi ni ma haters kwa diamond sijui kwanini itakuwa kawazidi mafanikio ndio maana wanamchukia
  • Mwita Nyagonde JrKaka kama hamjui mlitaka aseme anamjua....angalia nawewe usiseme kwa mapenzi....Diamond nyimbo zake zinapigwa Nigeria mpaka yeye ajue? Na je diamond amewahi kufanya shoo Nigeria mpaka amfahamu...
  • Edna TracyHata mie leo nimekupa 100% Bill.
    •  ·
    • Olivia SanareSawa lakini ni wakati sasa wa mastar wetu wajiweke expensive na waache kujokomba komba kwa wasanii wa nje,yeye kilichomfanya avamie harusi ya watu apige mipicha kibao ili mradi nae aonekane kapiga picha na psqr hilo la kujipendekeza limemponza.
    • Maki ShokiKusema kweli hapo p-square or triangle kachemsha! Mi japo sijawahi kusikia miziki ya diamond,ila namsikia akivuma sana. Kwa msanii kwenda kwenye nchi ya watu, ukiwa kwenye industry kama ya mziki, ushindwe kupeleleza kujua who is who katika mziki kwenye nchi hiyo, ni upumbavu wa kutosha. Well said William J. Malecela.
    • Bernard Kazimoto DicksonBro tusimlaumu sana Peter ambaye yeye na pacha wake paul wanaunda kundi la P-SQUARE kusema hamfahamu Diamond. Nadhani sherehe yake ilikuwa na wageni wengi sana kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiwemo akina AKON NA ADEBAYO na mastaa kutoka ulaya pia yeye alikuwa Bwana harusi. Hivyo inawezekana hakutilia maanani uwepo wa Diamond. Isitoshe ndoa yake ilifungwa kimila. Nakumbuka wiki cache zilizopita mchezaji wa PSG ya France na timu ya taifa ya Sweden zlatan ibrahimovic aliulizwa swali ni nani mshambuliaji bora kati ya Suarez, Rooney NA strugge. Yeye alijibu who is strugge?.. pia tukumbuke wanigeria wanapenda kusifia vya kwao hiyo ndio tabia yao. Watanzania walioshangilia kauli ya peter(P-SQUARE) kuhusu Diamond ni mbululaz na wanafiki maana kwasasa Diamond ndie superstar Kwa wanamuziki WA Tanzania. Lakini pia lazima tupate fundisho kuwa tupende kusifia vya kwetu. Kumponda Diamond ni ulimbukeni NA ujinga. Tunapaswa kujivunia vipaji vyetu kama wao wanavyojivunia vipaji vyao.



    • Nyemo DavidYaani mbali na kusikitika nimeshangaa kuona watu wanafurahia hiyo bullshit kaul ya huyo cjui Psquare coz kwa upande wangu nimeona ametuzarau wa Tz wote tatizo wale nao wana madharau mno kujiona bab kubwa na kusahau kuwa ni Africans km cc ...wao ni kina nani hata wasimjue mwanamziki anaejulikana almost east africa nzima....sitak kuamin km hawamjui nachoweza ona ni ile wao kujifanya wako juu kuliko wanamzki wengine wa Africa...
      3 minutes ago·

      • Soph MmbagaYaan wabongo ndo ze2 kulalamika sasa mlitaka aseme uongo kama anamjua kasema ukwel hamjui. Mbna hata van vicker alisema bongo alikua anamjua kanumba 2 na ni kwa 7bu alijarbu kuigiza na wasanii wa huko so na uyo nasib nae atafute featuring huko watamjua
      • Vivian Aloyce MushiAjulikane kwa lip numb one, achen mambo yenu msil azimishe vitu kila kitu na wakat wakeukifika atajulikana, kule nje mwanamuzik anajulikana akiwa anaimb vizur na awe na mchango kiselikal na kijamii, sasa ukumtu anakuwa maaruf kwasabab anaongoza kuwavua nguo wasichana unadhan nana atamjua, tutaendelea kumjua cc na hao wa tandale wezie.
      • Patrick MujunguMh kazi kwelikweli.Tupogo aha Tupogo.afanye ka ommy dimpo then watamjua.
      • Rose Lwingawatu wanafiki tu siku zote na Diamond atabaki kuwa Diamond milele hata milele,utajiuliza aliingiaje pale hadi kupiga nae picha?hata kama hakualikwa lakini kuna mtu alisababisha Diamond aende kwenye hiyo hafla tatizo iwe ni uvaaji,kuna watu wanaalikwa d.
      • Rehema MwakaDiamond yuko juu, acheni chuki zenu. Hata kama psq hamjui,
      • Anitta RayDiamond ni Muimbaji mzuri !
      • Prince Feisal Juma PintoBro umeongea ukweli kabisa alafu nimefatilia nimekuja kujua kwa Diamond Platnumz alipewa kadi na Davido so P square alimualika Davido lakini yeye Davido aliona umuhimu wa Daimond Platnumz kwenda kwenye harusi ndo akampa kadi..... so wabongo waache kumponda Diamond bali waappretiate na tuwe tuna mtetea kwenye wakati kama huu na yeye atajiona anathaminiwa io itampa nguvu kuongeza bidii hili kuipaisha tanzania
      • Stella Kissinganajiuliza kila siku sipati jibu..ni kwa nn wa tz wengi wanamchukia diamond?ni nini aliwakosea.
      • Rehema MwakaUnasikia stella ni majungu na unafiki ndivyo vinavyowatesa watu wenye chuki, mungu azidi kumuinua,
        about an hour ago via mobile·


        • Linus MwanambilimbiI like the openness in Le Mutuz. Those guys from west African countries have what is called superiority complex which is spoiling them I think its high time we look into things positively and give praise to any one who perform well on his field.Big up Le Mutuz for opening up on this matter.
        • Chellou VickieHutegemie msanii mkubwa kama P-Square kujibu ujinga wa namna hio, hata kama hanjui akifika TZ alitakiwa afanye research kidogo nani ni super star wa Bongo hakuna Ubishi kuwa OUR OWN DIAMOND anakubalika sana Bongo na East Africa, umefika wakati wabongo tuungane na kupendana hapo ndio tutakuwa pamoja amjue Diamond Platnumz or asimjue he is our super super star and we love him very much


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>