Marehemu 'Victor Peter Makula' aliyekuwa masanii Chipukizi Bongo Movie na kuwashikisha wasanii nyota katika tasnia ya filamu hapa nchini katika filamu zake, Leo ndio mazishi yake mwili wake upo tayari katika makaburi ya Igomero RC Kahama.
HUYO hapo juu pichani anaitwa Ronny Msanii mwenzie na marehemu Victer aliyefanya naye kazi huko mkoani Tanga enzi za uhai wake marehemu Victor kabla ya kujinyonga,
Ronny akilia kwa uchungu katika makaburi ya Igomero RC huko kahama.