Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

KWA WANANCHI WOTE MNAOSOMA MITANDAO YA KIJAMII HII HABARI SIO YA KWELI KABISA NI ADUI TU WA HUYU MISS DODOMA ALIYEAMUA KUMCHAFUA KWA SABABU ANAZOZIJUA MWENYEWE JAMANI WABONGO TUWACHE KUCHAFUANA THIS IS NOT RIGHT U KNOW KWA NINI TUSIMTUMIE MITANDAO KUTAFUTA ELIMU NA PESA BADALA YA THIS NONSENSE!! IT IS WRONG!1 IT IS UGLY!! IT IS UNFAIR JAMANI TUBADILIKE KIDOGO BASI!! ALIYEVUA NGUO CHINI SIO YEYE YAANI MISS DODOMA NI PICHA YA MSICHANA MWINGINE KABISAA!1 THANK YOU!!NA NYIE WATU WA HIYI BLOG MLIYOWEKA MIHURI YENU KWENYE HIYO PICHA KWA KWELI MNATAKIWA KUMUOMBA RADHI HUYU DADA KWA KUMCHAFUA BILA SABABU NEXT TIME MUWE WAANGALIFU NA KUWEKA MIHURI KWENYE PICHA ZA WATU MSIOWAJUA!! MAANA FOR SURE PICHA HII IMEANZIA KWENU!!

$
0
0


 http://2.bp.blogspot.com/_dTTQMYrje2A/Sqo8Hj5LBVI/AAAAAAAABIo/M9Ax2la4Jkc/s320/5.JPG
 Miss Dodoma Jackline akionesha makalio yake makusudi ili wananchi wayaone yalivyoumbika huku mezani maji makubwa ya Ki na unyunyu vikionekana.


Sasa haya ni mashindano ndivyo tunavyoweza kusema maana kila siku ya Mungu mastaa wetu wanazidi kufanya vitu vya ajabu kiasi cha kusikitisha kama si kushangaa ambapo safari hii mtandao huu hatari kwa habari  za uchunguzi  wa Xdeejayz imenasa picha ya mrembo maarufu Mkoani Dodoma na anaeheshimika sana Mkoani humo kutokana na kazi zake za kijamii anazozifanya.

Habari za uhakika toka kwa chanzo chetu cha habari toka mkoani humo zilisema kuwa mrembo huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jackline na haifahamiki ni wa mwaka gani hivi karibuni amepiga picha za kutosha kama hana akili nzuri zinazomuonesha makalio yake wazi kwa lengo la kutafutia pesa kwa Waheshimiwa mjengoni.
Habari zaidi ziliendelea kueleza mrembo huyo ambae kwa sasa ana mahusiano na Mbunge mmoja maarufu ambae pia ni mfanyabishara na mwenye rangi ya kiarabu na anatokea kwenye moja ya mikoa ya katikati ya nchi yetu lakini cha kushgangaza licha kula good time kwa Mhesimiwa huyo bado amepiga picha za namna hiyo za kujidhalilisha.

" Inashangaza sana kwa kweli huyu Jackline ni kama amekuwa nyumba ndogo ya Mbunge huyo na hakuna asiyefahamu Dodoma nzima na amemnunulia gari ya maana ili atulie nae lakini ajabu ni kwamba amepiga picha za aibu tena anaonekana yuko na mwanaume hotelini" Kilisema chanzo hicho


Aidha katika hatua nyingine Jackline  imeelezwa kuwa kuvuja kwa picha hiyo huenda kukampeperushia bata zake kwa Mbunge huyo kwani sidhani kama tapenda kuona akidhalilika kiasi hicho.

Kufuatia kwa tukio hilo Wazee wa kabila la Kigogo walitoa msimamo wao na kuelezea " Sasa naona hawa wasichana wameanza kuuharibu mkoa wetu, hatukuwa na matukio kama haya kipindi cha nyuma tulikuwa tunayasikia huko Dasalama lakini sasa yameanza kutokea na hapa hakika tusingependa kuona upuuzi huu unaendelea na tutajua tutakachokifanya kwa huyo bint ili iwe fundisho kwa wengine" Alisema mzee mmoja aliyefahamika kwa jina la Majenzi
 Xdeejayz ilifanya jitahada za kumtafuta Jack ili kuelezea upuuzi wake  alioufanya lakini kwa bahati mbaya hakuweza kupatikana hadi habari hii inaapia hewani.

TAARIFA: Blog hii inatoa taarifa kwa watembeleaji wetu kuwa sisi hatuhusiki na upigwaji wa picha za wahusika wote wanaoripotiwa humu isipokuwa tunatoa habari hizi kama moja ya habari za kuwafikia nyie na kuungana na taasisi na mashirika ikiwemo blog hii kupinga upuuzi huu unaofanywa na mabinti zetu tena makusudi kabisa na kwa kujitambua na tuungane kulani tabia hizi kwa maslahi ya taifa letu.
Aidha masharti ya blog hii yanapatikana wanaoruhusiwa kutembelea ni wale watu wazima tu si vinginevyo hayo ndiyo masharti tuliyopewa na Bloger: Mhariri



Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>