Ukiskia kufanya biashara ni huku, unanunua hisa, unatengeneza faida kisha unaziuza kwa bei ya juu. Wafanyabiashara wa Tanzania inabidi tuache emtional attachments na biashara zetu. Labda Rostam angefungua Rostam School of Business pale University of Dar es salaam, kama Said Business School, Oxford ameuza kwa shillingi Billioni 387 hisa 35%.
↧