Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ROSTAM AUZA HISA ZAKE VODACOM TIZAMA AMEUZA KWA BEI GANI?

Ukiskia kufanya biashara ni huku, unanunua hisa, unatengeneza faida kisha unaziuza kwa bei ya juu. Wafanyabiashara wa Tanzania inabidi tuache emtional attachments na biashara zetu. Labda Rostam...

View Article


PROF. BAREGU WA CHADEMA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA KUHUSU VITA YA SASA HUKO!!

UAMUZI wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumvua madaraka, Zitto Kabwe unadaiwa kuanza kukitesa chama hicho na kwamba sasa uongozi wa juu umeamua kusaka suluhu ya jambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KENYATTA AAANZA KUWAKANA KINA MUSEVENI NA KAGAME!!

Kenyatta apoza hasira za JKRais Kikwete. PICHA|MAKTABA  Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa mradi wa reli wa kuanzia Mombasa hadi Kigali, Rwanda, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alisema mradi wa ujenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- KAPTENI MSTAAFU AKUMBUKA ALIPOHUKUMIWA JELA MAISHA!!

Rubani wa ndege aliyeonja kifo kwa ajali ya ndege na kifungo cha maisha, Rubani huyu ni Kapteni Mstaafu Rodrick Robert (69). Picha na Maktaba  Rubani huyu ni Kapteni Mstaafu Rodrick Robert (69) mrefu,...

View Article

COASTAL UNION YAIONYA YANGA!!

Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Coastal Union umewaonya Yanga ukiwataka uache kuzungumza na beki  wao Abdi Banda kinyume na taratibu za usajili wa mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi sita...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA TENDA BURUNDI!!

 Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dk James Nzagi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari kutoka Tanzania; Dismas Lyassa (katikati) na Peter Saramba. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwake,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"NINA AMANI SANA INGAWA NINA UKIMWI" - AFUNGUKA LIVE MBEBE LUCY!!

Lucy Lawrance akipanga bidhaa zake wakati wa maonyesho ya Wiki ya Ukimwi katika viwanja vya Mnazi Mmoja Picha na Daria Erasto.  Wakati tukiadhimisha siku ya Ukimwi Duniani hapo Desemba 2, lazima jamii...

View Article

THE MAJANGAZ:- WABONGO WAWILI WANASWA TENA NA SEMBE SOUTH AFRICA LIVE!!

Gazeti la The Citizen linaripoti kuwa Watanzania wawili wanahojiwa na polisi wa Afrika Kusini kuhusiana na kukamatwa kwa kilo 55 za dawa za kulevya. Dawa hizo za kulevya zinazokadiriwa kuwa na dhamani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHAURI WA BURE KWA WAZIRI WA KILIMO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wakazi wa Vwawa wilayani Mbozi.Nape ampa ushauri wa bure ChizaAmtaka aandae majibu kwa Kamati Kuu sio kumshambulia magazetini Ahoji busara anayoidai itumike...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VUTA NIKUVUTE NDANI YA CHADEMA SASA YAHAMIA MIKOANI NAKO!! MBUNGE WA CHADEMA...

Soma Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR WEMA SEPETU AMCHANA LIVE FUNDI WAKE!!

BEAUTIFUL Onyinye, Wema Isaac Sepetu ametengeneza habari mpya kama kawaida yake. Safari hii amemuanzishia timbwili zito fundi wake aliyefahamika kwa jina moja la James.Wema Isaac Sepetu.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA KWANZA UTAFITI WA KISAYANSI KWA NINI FOLENI YA MAGARI...

Huu ni baadhi ya utafiti uliowahi kufanywa na mmoja wa watu wa karibu wa Swahilitz, na kugundua kuwa kuna mambo ambayo siyo lazima yawepo ili kupunguza foleni inayoikabiri jiji la Dar es Salaam, Kwanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA BONGO LEO 30/11/2013.

Posted by: Millard Ayo ............................

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JK SASA ASHUKIA MIMBA ZA UTOTONI!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HABARI ZA KWANZA KOMBE LA DUNIA LATUA BONGO JANA LIVE!!

Posted by: Millard Ayo Kombe la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara wa magari 10 aina ya Hyundai....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- HUYU SUPER STAR MBEBE MSANII ANASWA NA MUME WA MTU NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MENEJA WA SUPER STAR WEMA SEPETU AJIBU MAPIGO BAADA YA KUTANGAZWA...

Hichi ndicho alichokisema yule producer aliyefukuzwa kazi na Wema Sepetu kwa Uzinzi  Baada ya juzi kati kuripotiwa habari ya aliyekuwa producer ama mtengenezaji wa vipindi vya Wema Sepetu Chidi Mohamed...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHUNGAJI MWENYE UTAJIRI WA AJABU HAPA BONGO BILIONEA GWAJIMA APEWA SUMU!!

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AONGOZA MAZISHI YA MTOTO WA MZEE MANGULA KINONDONI!!

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka udongo katika kaburi la mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, (Peter Mangula), wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR JACKY WOLPER AFUNGUKA LIKE NEVER BEFORE KUHUSU KANUMBA!!

NYOTA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa filamu yake aliyoitoa kumuenzi marehemu Steven Kanumba iitwayo After Death ilimlostisha kwa kuwa ilimpatia hasara kubwa. Jacqueline...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>