Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia wananchi waliofurika katika Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya alipoingia Uwanjani huku akiwa na Mwenyekiji wake, Katibu Mkuu wa CCM, Abdurlahman KinanaHii ndiyo CCM, Rais Jakaya Kikwete akisema, huku akionyesha alama ya CCM ya jembe na nyundo ambayo aliichukua kwa mmoja wa mashabiki wa CCM walioingia nayo Uwanjani
Vijana wa CCM wakicheza gwaride la ukakamavu mbele ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete wakati a sherehe hizo.
Vijana wa CCM wakicheza halaiki
Vijana wa Umri wa miaka 37, wakirusha njia hewani kila mmoja, kuashiria CCM ilivyofanikiwa kujenga amanai na utulivu Tanzania katika uhai wake wa miaka 37 hadi sasa, wakati wa sherehe hizo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Kikwete kuhutubia hadhara
Rais Jakaya Kikwete akihutubia
Wasanii wa filamu na muziki wa kizazi kipya waliojiunga na CCM, leo wakishangilia baada ya kutambulishwa na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye kwenye sherehe hizo
Manii wa filam, JB akizungumza baada ya yeye na wenzake kukaribishwa na Nape
Wasanii wa Filam na muziki wa kizazi kipya wakiselebuka baada ya kutangazwa kuwa watapewa kadi za CCM na Mwenyekiti wa CCM, Rais jakaya Kikwete kwenye sherehe hizo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiungana na wasanii waliokuwa wakicheza ngoma ya kinyakyusa wakati wa sherehe hizo
Nape na Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda wakicheza muziki wa hamasa uliokuwa unapigwa na TOT wakati wa sherehe hizo.
Khahija Kopa akituzwa na mashabiki alipotumbuiza katika sherehe hiyo akiwa na TOT
Kinana akisoma toleo maalum la gazeti la Mzalendo wakati akiwa kwenye sherehe hizo
Ofisa wa Uhuru Publications Limited, akiwagawia magazeti la Mzalendo wasanii
Wasanii wakisoma Mzalendo
Wasanii wakisoma gazeti la Mzalendo
Banda la UHURU/Mzalendo katika viwanja vya Sokoine mjini Mbeya