MAMBO YA JANA DIVA'S NIGHT JOKATE NA SUPER STAR WEMA SEPETU LIVE KWA PAMOJA...
Surprise haikuja kimya kimya cheki video hapo chini uone jinsi Jokate alivyo mtunza Wema mambo ya red red tuuuuu
View ArticleRAIS KIKWETE AMUUNGA MKONO KATIBU MKUU WA CCM KINANA 100% KUWA YUPO NAYE...
Kikwete akizungumza kwenye kilele cha miaka 37 ya CCM leoNA BASHIR NKOROMO, MBEYAMWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi...
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- HAYA NDIO MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA UBUNGE KIEMBESAMAKI...
CCM kidedea jimbo la Kiembe samaki, yashinda kwa 78%Â Â Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti Makao Makuu ya CCM mjini Zanzibar...
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO YA MCHEZO WA LEO YANGA NA MBEYA CITY PAMOJA NA PICHA LIVE!!
YANGA 1- MBEYA CITY 0Mrisho Ngasa akipambana na mlinzi wa Mbeya City Deogratius Julias katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ambapo Yanga imeshinda...
View ArticleLE MUTUZ LIVE AT THE NATIONAL STADIUM WITH MY 2 SUPER FRIENDS MWENYEKITI WA...
Le Big Show hanging out na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga pamoja na kwamba jana amemtukana sana baba yangu mzazi lakini ndio siasa sio vita wala ngumi ni hoja he is still my great friend...
View ArticlePOLISI 5 WALIOKUFA KWENYE AJALI MAJUZI DODOMA LEO WALIPOAGWA RASMI TAYARI KWA...
Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans wameagwa leo Mkoani Dodoma tayari kwa mazishi. Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa...
View ArticleHIZI NDIP PICHA ZA RAIS JK AKIONGOZA SHEREHE ZA CCM MIAKA 37 LEO LIVE MJINI...
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwasili katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine mjini Mbeya kuwaongoza wana-CCM katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM leo   Rais Jakaya Kikwete...
View ArticleWAJUE MABINGWA WAPYA WA CHAN AFRICA HAWA HAPA LIVE!!
Libya imepata ushindi wake wa kwanza wa kombe la taifa bingwa Afrika kwa mikwaju ya penalti 4-3 dhidi ya Ghana mjini Cape Town Afrika Kusini. Mechi ya fainali kati ya nchi hizo mbili ilikamilika kwa...
View ArticleNA HII NI RIPOTI YA KWANZA YA CHADEMA NA ZITTO NA SIRI ZAO LIVE!!
RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.UTANGULIZI: Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza...
View Article