Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

COASTAL UNION YAIONYA YANGA!!

$
0
0




Dar es Salaam. Uongozi wa klabu ya Coastal Union umewaonya Yanga ukiwataka uache kuzungumza na beki  wao Abdi Banda kinyume na taratibu za usajili wa mchezaji mwenye mkataba wa zaidi ya miezi sita zinavyoelekeza.
Kwa mujibu wa kanuni

  • Kwa mujibu wa kanuni za usajili za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na zile za Shirikisho la Soka la Dunia(Fifa), mchezaji anaruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu nyingine pale tu mkataba wake wa awali unapokuwa umesalia miezi sita kufikia tamati.
za usajili za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na zile za Shirikisho la Soka la Dunia(Fifa), mchezaji anaruhusiwa kufanya mazungumzo na klabu nyingine pale tu mkataba wake wa awali unapokuwa umesalia miezi sita kufikia tamati.
Kumekuwapo na taarifa kwamba Yanga inamfukuzia Banda kwa udi na uvumba kwa lengo la kumsajili ili aichezee mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na Mashindano ya Kimataifa.
Mwenyekiti wa Union, Aurora alisema, kitendo kinachofanywa na Yanga kinakiuka taratibu za usajili, kwa vile Banda ana mkataba wa miaka mitatu wa kuitumikia klabu yake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>