Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, jana jioni.
Kinana akizungumza na familia ya marehemu Mgimwa. Wa pili kushoto ni Johakim Mgimwa.
Kinana akimuaga Mama Mgimwa baada ya mazungumzo.
Kinana akiaga.
Mmoja wa wanafamilia akilia Kinana alipotembelea familia hiyo ya Mgimwa.
Nyumbani kwa marehemu Mgimwa.
Kinana akipokea saluti ya kijana wa CCM, alipowasili Ifunda, Iringa Vijijini kabla ya safari ya kwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msavatavangu.
(Picha na Bashir Nkoromo)