Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa Mbaroni. Iringa, Tanzania. Polisi Iringa imemtia mbaroni Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kutokana na kumuhusisha na vurugu katika kampeni za udiwani zilizotokea hivi punde kwenye Kata ya Nduli jioni hii.