Kombe la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara wa magari 10 aina ya Hyundai. Watanzania watapata fursa nyingine ya kuliona kombe hilo hapo kesho katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kuanzia saa 3 asubuhi,katika taarifa za mwanzo zilizotoka ilikua kuliona jioni ya leo kwa wakazi wa Dar es salaam kisha kombe kuelekea Mwanza.
↧