"Asante sana NMB kwa kusaidia jitihada zangu za kuchangia kuboresha afya ya mama na mtoto mkoani Tanga. Leo nimepokea vitanda vya kujifungulia (delivery beds) 7 ambavyo nimevikabidhi kwa Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga mhe Omar Guledi. Vitanda hivi vitagawanywa ktk Vituo vya Afya vya Makorora, Pongwe na Mikanjuni vilivyopo jijini la Tanga. Hakika NMB NI BENKI INAYOJALI WATEJA!"