$ 0 0 Uzinduzi wa ofisi ya Tawi la CCM Ferry Kigamboni (W) Temeke leo, Mjumbe wa NEC Phares Magesa alikuwa Mgeni rasmi ambapo alizindua tawi, harambee ya kuimarisha Chama kuichumi na kuingiza wanachama wapya, UMOJA NI USHINDI !