Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKING NEWZZZ....MSHAMBULIAJI WA BRAZIL NA CLUB YA Shakhtar Donetsk AFARIKI KWA AJALI YA GARI

$
0
0



Maicon Pereira de Oliveira

Mchezaji huyo Amefariki akiwa na  Miaka 25 alikua na kipaji na Alikua anachezea katika Club ya Shakhtar Donetsk.. Mshabuliaji huyo anaejulikana kwa jina la Maicon Pereira de Oliviera amefariki kwenye Ajali ya Gari.


Club ya Shakhtar Donetsk imethibitisha Kifo hicho na kusema amefariki leo Asubuhi 8/2/2014

Maicon ni raia wa Brazil na alijiunga na Shakhtar Donetsk 2008 na ameonekana mara 6 na ameifungia timu hio Goli 1 tu. Hivi karibuni alipelekwa kwa mkopo timu nyingine

Maicon Pereira de Oliviera asifananishwe na Maicon Douglas Sisenando mwenye miaka 32 ambae pia ni raia wa Brazil ambae alikua akikipiga katika club ya Inter Milan amabe sasa anachezea katika club ya Roma.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>