Mzee Yusuf akiwa kwenye jukwaa alipofanya makakmuzi ya nguvu mjini London, Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kukonga nyoyo za mashaniki wa taarab wa Uingereza.
Mashabiki wa mopasho wakishindwa kujizuia walipopanda jukwaani sambamba na Mzee Yusuf aliyefanya makamuzi ya nguvu jijini London Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kuachengua vilivyo mashabiki hao.
Mdau namba wani wa Mzee Yusuf akipata ukodak moment baada ya kupagawishwa na mipasho ya mwanamuziki huyo wa anayetesa kwa sasa ndani ya Bongo na kwa Watanzania walliopo nchi za watu
Mashabiki wakishindwa kujizuia kwa burudani la kukata na shoka kutoka kwa mfalme wa Taarab kutoka Tanzania alipotia nanga mjini London kwa show ya kukata maini aliyofanya siku ya Jumamosi Feb 8, 2014.
Mwana Bloga Jestina George kiti kilikua hakikaliki kwa mipasho ya Mzee Yusuf alipofanya makamuzi ya kufa mtu siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 mjini London, Uingereza.
Mlimbwende akienda sambamba na Mzee Yusuf jukwaani.
Picha kwa hisani ya Jestina George Blog