KUNA UHALISIA WA KUFANYA HAYA M/KITI MTIKILA ?
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amesema atajiuzulu ujumbe katika Bunge Maalumu la Katiba na kwenda mahakamani kama...
View ArticleALIYE UA TARIME ACHEZA NA DOLA
Amini usi Amini huyu jamaa wa kwenye picha ndio yule muwaji ndugu zetu watanzania wenzetu tisa kule tarime . Kwa masikitiko makubwa na simazi tele toka kwa...
View ArticlePAMBANUAI : UWEZO WA KUAMUA, KUZINGATIA NA KUTENDA
MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO, NI CHANZO KIKUU CHA SARATANI YA KOO?Saratani imeendelea kuwa tishio hapa nchini huku hofu ikiendelea kuikumba jamii kutokana na wataalamu wa afya kushindwa kufahamu tiba...
View ArticleKUMBUKUMBU YA LADY JAY DEE
Few things are guaranteed in life. One of them is death. In a certain day, in unknown date, you and I are both gonna call it quit. We will die. Who knows what happens when we die? Do we turn out to be...
View ArticleMARIO BALOTELLI: ATOA CHOZI KWA UBAGUZI WA RANGI
Wakati wa mechi ya jana Jumamosi usiku ambapo klabu ya Ac Milan ilikuwa inamenyena na Napoli FC , Mshambuliaji asiyehishiwa vituko anayechezea AC Millan, Mario Balotelli alioneana akilia na...
View ArticleTHIS IS FOR U,MAGAZETI YA BONGO LEO JUMATATU 10/02/2014,UDAKU,SIASA NA MICHEZO
......................................millard ayo
View ArticleTHE UDAKUZ@ ROSE MUHANDO ALIPOONJA LUPANGO KWA MASAA KADHAA
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi...
View ArticleHOT PIC OF THE DAY,LEGEND WA BONGO FLEVA PROF.J ALIPOTOA PENZI LAKE ZITO KWA...
BINADAMU wote ni sawa..Na tumeagizwa AMANI Na UPENDO, Mwenyezi Mungu awabariki sana! !!
View ArticleHOTE NEWZ,HUYU NDIYE MMASAI WA KWANZA KURUSHA NDEGE YA FAST JET HAPA DUNIANI
William Zelothe Stepehen akiwa ndani ya ndege aina ya Airbus A319.William Zelothe Stepehen ni Mtanzania wa Kwanza Mmasai aliyepewa ithibati ya kuiongoza ndege aina ya Airbus A319 punde tu baada ya...
View ArticleWADAU WA CCM MAREKANI WAKUTANA KUSHEREKEA MIAKA 37 YA KUZALIWA KWA CCM JIJINI...
Meza Kuu Kutoka Kushoto ni Katibu wa Tawi la CCM - California Ndugu Erick Byorwango, Mwenyekiti wa Tawi la California Ndugu Josephine Masabala, Mwenyekiti wa Tawi la Chicago Ndugu Tina Lupembe na...
View ArticleLIVE !!! MSANII MKAREZ WA BONGO FLEVA APIGWA ALIA KWA KUPIGWA JUJU
Mwanamuziki na muigizaji baby Joseph madaha amefunguka na kusema kuwa kweli ameamini uchawi na kupigana juju vipo kwenye gemu kwani mambo yaliyomtokea hivi karibuni haelewi hata imekauje.Chanzo...
View ArticleJENGO HATARI KWA IKULU YA NCHI HILI HAPA,WALIOJENGA KUHUKUMIA LEO
Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili...
View ArticleLIVE PICHAZ ZA MKALI WA MIPASHO MZEE YUSUPH ALIVYOTIKISA LONDON USIKU WA LEO
Mzee Yusuf akiwa kwenye jukwaa alipofanya makakmuzi ya nguvu mjini London, Uingereza siku ya Jumamosi Feb 8, 2014 na kukonga nyoyo za mashaniki wa taarab wa Uingereza.Mashabiki wa mopasho wakishindwa...
View ArticleNEWSSSSSSS FROM RUSSIA, TWO SILVER & 1 BRONZE MEDALS
Russia wins one gold, two silver and one bronze medals; holds fourth place in SochiAt the end of the second day of the Sochi Olympics, Russia is holding the fourth place among the teams after winning a...
View ArticleYALIYOJIRI USIKU WA OMMY DIMPOZ JIJI LA WAJANJA - OAKLAND, CALIFORNIA - PICHA...
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Josephine Masabala akipata Ukodak na Ommy Dimpoz Katibu wa Tawi la California Erick Byorwango na Stella Byorwango wakipata Ukodak na Ommy DimpozKatibu Mwenezi wa Tawi la...
View ArticleHOT NEWZ ON JOKATE ALIPOFUNGUKA SIRI YA YEYE KURUDISHA MAJESHI KWA SUPER WEMA...
THE big boss wa Kidoti, Jokate Mwegelo ambaye pia ni staa wa sinema na Bongo Fleva, amefichua siri ya kupatana na Wema Isaac Sepetu akisema kuwa sababu ya yeye kuonekana kwenye jukwaa moja na aliyekuwa...
View ArticleFAGIO LA CHUMA NOW KWA WOTE WALIOTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS CHAMA TAWALA
Baadhi ya makada wa CCM ambao wataitwa mbele ya Kamati ya Maadili na Usalama ya chama hicho, wanakabiliwa na shtaka la kutoa rushwa kwa lengo la kushawishi kukubaliwa kwao, Mwananchi limebaini.Makada...
View Article