Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE MAJANGAZ:- HUYU RAIS AANZA TENA VISA VYAKE VYA JUHA KALULU ATAKA KUGOMBEA TENA URAIS 2016 MJUE HAPA LIVE!!

$
0
0


rais_0f7db.jpg
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Rais Museveni amekuwa mamlakani kwa kipindi cha miaka 28.
Wabunge wa chama tawala nchini Uganda kwa kauli moja wanamtaka kiongozi wa chama chao ambaye pia ni rais wa nchi hiyo Rais Yoweri Kaguta Museveni kuwania urais tena kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka wa 2016.
CHANZO:DWSWAHILI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>