Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE BONGO & MAJANGAZ:- MJUE MMOJA WA WACHAWI WA HAWA WASANII WETU AMBAYE BADO YUPO HAI WENGINE WALISHAKUFA U KNOW!!

$
0
0

 DK Kamdege akiwa kazini na zana za kazi, Mganga huyu amejichukulia umaarufu mkubwa nchini na nje ya nchi kwa tiba zake ambapo yeye hutumia miti shamba tu kumfanikishia mtu mambo yake tofauti na waganga wengine ambao hutumia bla bla kuwadanganya wananchi.

 

Na Mwandishi Wetu- Tabora
Mganga nyota na mtaalamu wa miti shamba nchini na ambae amejichukulia sifa kubwa Duniani kufutaia kuwasaidia watu wengi na kujipatia mafanikio makubwa wakiwemo viongozi wa Serikali Afrika Mashariki wakiwemo mastaa wetu nchi siku za hivi karibuni amezusha balaa kubwa Mkoani Tabora anakoishi.
 
Habari toka Mkoani Tabora zinasema kuwa Dk huyo aliyefahamika kwa jina moja la Dk Kamdege amekuwa msaada mkubwa sana kwa watanzania hasa ambao hawapati mafanikio licha ya kufanya kazi usiku na mchana na wale waliokuwa hawapata wanaume wa kuwaoa au wanaume kuoa sasa hivi wengi wamepata familia zao na maisha yanaendelea.
Mwandishi wetu ambae alishuhuduia msururu mkubwa wa wananchi wanafika nyumbani kwa mganga huyu wakiwemo Waheshimiwa mbalimbali " Unajua huyu kijana anakalama kubwa sana nyumbani kwake watu hawaishi kila siku zaidi ya watu hamsini wanafika kwake kwa ajili ya kupata huduma na hii inaonesha jinsi gani watu wanavyomkubari" Alisema mwandishi wetu aliyeshuhudia mambo huko 

Akiongea na Xdeejayz mganga huyo ambae awali aliwahi kuwa na ukaribu na mwanamuziki Diamond na Penny kabla ya kuachana hali ilisababisha watu wamuhusishe na mafanikio ya Diamond Dk Kamdege aliongea kupitia simu namba 0788-844490 alisema " Wananchi wanahitaji kupata huduma sasa sisi tuliojaliwa vipawa kama hivi ni nafasi nzuri kuwahudumia hawa wanadamu wa mungu" Alisema Dk Kamdege
Mganga huyo aliendelea kutoa uwito kwa watanzania kuwa watumie nafasi hii waliyopewa na Mungu kwani maisha yana mambo mengi na adui mkubwa wa mwanadamu ni mwanadamu mwenzake na sio mnyama hivyo kwake yeye kama mtu anahitaji mchumba wa kuolewa nae kwake tatizo dogo, kama mtu anahitaji kupandishwa cheo kwake mwisho wa tatizo, kupatiwa baraka, kufunguliwa matumbo ya uzazi kama kuna dalili za kulogwa na kuongeza kungu za mafanikio kwenye maisha ya kila siku pamoja na biashara yoyote anayoifanya mtu hata akiwa nje ya Tanzania atamsaidia huko huko.
Mganga huyo alimaliza kusema kwa sasa amealikwa nchini Uingereza mwezi wa Tano mwaka huu hivyo kwa miezi hii michache watanzania watumie vyema fursa hiyo kwa ajili ya kusgughurikia matatizo yao.
Credit:Swahilitz

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>