WEMA KUWA KINGEUNGEU { MSANII ALIYE JAA MABADILIKO MBLE YA JAMII YA TANZANIA}
wasaniii hawa wemekuwa hawaeleweki kwenye mapenzi yao mpaka kuwa kero mbele ya jamii
View ArticleMJUE MCHUNGAJI WA KWANZA BONGO KUGOMA KUPIMWA UKIMWI NA SABABU ZAKE HUYU HAPA...
MTUME na Nabii wa Kanisa la Efatha, Joseph Elias Mwingira anayekabiliwa na kesi ya kuzaa na mke wa mtu, hatimaye amefunguka mengi kuhusu madai hayo lakini amekataa kabisa kupima UkimwiMtume na Nabii wa...
View ArticleSUPER STAR MSANII WA BONGO FLEVA MBEBEZ AFUNGUKA KUHUSU HABARI KUWA MJAMZITO...
Muimbaji wa THT, Linah Sanga amesema tetesi za kuwa ni mjamzito si za kweli. Linah ameiambia Mdadisi Mambo blog kuwa masuala ya ujauzito, kuolewa na kuwa na familia ni ya muhimu kwa kila msichana...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY TO NIGEL!! THE SON OF MY LOONGTYME SUPER FRIEND NICK SALUTE...
 "Happy birthday my son Nigel may God grant you many more returns."
View ArticleBREAKIN NEWZZZ:- AJALI YA NDEGE YAUA WANANCHI 70 SERIKALI YATANGAZA SIKU TATU...
Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa watu sabini na saba kwenye ajali iliyohusiha ndege moja ya Kijeshi Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.Abiria mmoja alinusurika...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- MJUE MMOJA WA WACHAWI WA HAWA WASANII WETU AMBAYE BADO...
 DK Kamdege akiwa kazini na zana za kazi, Mganga huyu amejichukulia umaarufu mkubwa nchini na nje ya nchi kwa tiba zake ambapo yeye hutumia miti shamba tu kumfanikishia mtu mambo yake tofauti na...
View ArticleKUDADEKI WALLAHI KULE MWAKA-INSTAGRAMA LEO KIMENUKA ASUBUHI SANA NA MAPEMA...
Hello kwa wale mnaoingilia urafiki wa watu na kutaka kuwaharibia kwa kusingizia mambo habari ndo hii kutoka kwa madam kuhusu BFF Kajala. Mashosti wa ukwee' BFFMuwaache walale jamani.........Hizi ni...
View ArticleMBUNGE MAARUFU WA CHADEMA AWAPA MAKAVU LIVE WAFANYABIASHARA MBURULAZZZ KODI...
Zitto Kabwe Awapasha Wafanyabiashara hakuna Kukwepa Kulipa Kodi,Nchi haiendeshwi Hivyo Zitto KabweEFD zilianza kutumiwa mwaka 2010 kwa jumla ya wafanyabiashara 16,000 waliosajiliwa kwenye Kodi ya...
View ArticleBLOG YA SWAHILIWORLDPLANET YADAI HUYU KIJANA AMEVUNJA AMRI YA 6 YA MUNGU NA...
Manaiki SangaMastaa wa filamu Swahiliwood, Manaiki Sanga na Wema Sepetu wanadaiwa kuwa wapenzi. Habari ni kuwa wasanii hao walianza kama marafiki wa kawaida na baadaye Manaiki kurusha kete yake kwa...
View Article