Manaiki Sanga |
Mastaa wa filamu Swahiliwood, Manaiki Sanga na Wema Sepetu wanadaiwa kuwa wapenzi. Habari ni kuwa wasanii hao walianza kama marafiki wa kawaida na baadaye Manaiki kurusha kete yake kwa Wema Sepetu, kwasasa wawili hao inasemekana wapo close sana kiasi cha kuzua minong'ono kwa wafuatiliaji wa habari za mastaa nchini. "Manaiki Sanga amemnasa Wema katika himaya yake, wapo karibu sana
siku hizi hata marafiki zao(wa Wema na Manaiki) wanajua kuwa wanatoka pamoja, si wajua Manaiki ni playboy na akiamua kumpata girl yeyote yule hashindwi" kilisema chanzo hicho ambacho pia ni msanii wa filamu nchini kikizungumza na Swahiliworldplanet.
Naye Manaiki Sanga ambaye siku za hivi karibuni alikumbwa na skendo ya kutembea na kupiga picha chafu na wasichana kibao alipotafutwa na Swahiliworldplanet na kuulizwa kuhusu kuwa katika mapenzi na Wema Sepetu alijibu kwa ufupi kwa kusema "ni wazushi". Manaiki alipoulizwa tena kama ukaribu wake na Wema ni wa kikazi au wanashuti filamu pamoja, alijibu kwa kusema "Nililala siku nne kwake wakajua demu wangu!!!"
Alipododoswa zaidi kwanini alale nyumbani kwa Wema wakati Wema yupo na Diamond kwasasa kama wapenzi alijibu "Diamond alikuwa anafungiwa ndani alikuwepo"
Wema Sepetu