$ 0 0 Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese amewapa fursa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram kuona umbo lake la kuvutia linalomfanya apate mashavu mengi ya kupiga ‘mitembeo ya paka’ kwenye runways kubwa duniani. Enjoy.