HUKUMU YA UJENZI WA GHOROFA 18 KARIBU NA IKULU BONGO!!
HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi itatolewa Januari 15...
View ArticleUSHAHIDI WA UMILIKI WA ZIWA NYASA SASA NJE!! HUU HAPA!!
Watu wa viunga vinavyolizunguka Ziwa Nyasa /Ziwa Malawi wakiendelea na shughuli za uvuvi. Tafiti mbalimbali zimeonyesha wengi wao hawaelewi hasa chanzo cha mtafaruku huu wa mipaka ya Ziwa ulioibuka...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- MWANAUME MCHAWI AKAMATWA BAADA YA KUANGUKA NA UNGO...
MWANAUME anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye anasadikiwa kuwa ni mchawi, juzi Jumatano alikutwa pembeni ya Mto Okrudu eneo la Kaimebre, sehemu ambayo ni karibu na soko jipya la Kasoa kwenye...
View ArticleMISS TANZANIA MILLEN MAGESE NAYE AAAMUA KURUSHA PICHA ZAKE ZA UTUPU...
Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese amewapa fursa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram kuona umbo lake la kuvutia linalomfanya apate mashavu mengi ya kupiga ‘mitembeo ya paka’...
View ArticleLE MUTUZ LIVE CHILLING WITH MY SUPER FRIEND MTANZANIA MWENYE UTAJIRI WA AJABU...
Le Big Shoow hanging out na Matanzania mwenye utajiri wa ajabu Bilionea Omar Bkahressa, Mmiliki wa Azam Inc. last night at Kempisk Hotel, downtown Bongo. What a great human being with absolutely big...
View ArticleMZIMU WA MHESHIMIWA MBUNGE ZITTO WAZIDI KUITESA CHADEMA MPAKA NGOME YAKE YA...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo,CHADEMA leo kimepata pigo jipya baada ya kupoteza wanachama wake 92 wakiongozwa na katibu wao ndugu Simon Mpandalume...Mdau wetu toka Dodoma...
View ArticleLE MUTUZ LIVE AT UFUNGUZI RASMI WA AZAM TV LIVE LAST NIGHT AT KEMPISK HOTEL!!...
Le Mutuz at the Red Carpet of Azam TV official launch last night at Kempisk Hotel at downtown Bongo, the Live Azam TV interview with TV Super Star Wasi Wasi Mwabulambo, wanted to know how I feel about...
View ArticleLE MUTUZ LIVE LAST NIGHT AT HABARI YA HAPA MUJINI BONGO SKYLIGHT BAND AT THAI...
Habari ya Mujini Skylight Band live last night at Thai Village. TV Super Star Mboni Masimba of Mboni TV Show hanging out with Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Moddy Bawaziri, right who just got back...
View ArticleMTOTO WA RAIS AFUNGUKA LIVE KUHUSU KUZALIWA KWA MAMA YAKE!!
Ridhiwani Kikwete"HAPPY BIRTHDAY SPECIAL ONE Siku ya leo imekuwa muhimu sana katika maisha yangu.Mama yangu kipenzi amejaliwa na mungu kusherehekea Miaka 50 ya maisha yake. Hakika hii ni zawadi nzuri...
View ArticleWAINGEREZA WALIOMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR WAIKABA KOO SERIKALI LIVE!!
Waingereza hao ambao walikuwa walimu wa kujitolea katika shule ya St Monica, Tomondo, Zanzibar, walimwagiwa tindikali na watu wawili wasiojulikana wakati walipokuwa kwenye matembezi ya jioni katika...
View ArticleMBUNGE MAARUFU WA CHADEMA AFUNGUKA LIVE ON KWA NINI ANASAKAMWA SANA!!
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Mwananchi kwa njia ya simu, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe alisema kuwa hadi sasa bado hajapokea tuhuma 11 anazokabiliwa nazo, hivyo hajui makosa...
View ArticleBREAKIN NEWZZZZ!!- MWANAMUZIKI MAAARUFU IS NO MORE!!
Mwanamuziki mkongwe wa Congo, Pascal Tabu Ley Rochereau amefariki dunia leo asubuhi baada ya kulazwa katika hospitali ya nchini Ubelgiji. Kwa mujibu wa mwanae Charles Tabu, aliyeongea na Radio Okapi,...
View ArticleHABARI YA KWANZA KAMILI KUHUSU MTANGAZAJI WA TBC ALIYEKOSWA KOSWA NA SIME LIVE!!
Imeandikwa na Dj Aro Arungu.AMA kweli nimeamini Maisha ni Watu na siku zote Tenda Wema Nenda zako.Huyo jamaa aitwae Bondia Mada Maugo maskani yake Gongo la Mboto.Jana alikuwa na Uzinduzi wa Wimbo wake...
View ArticleHATIMAYE LE MUTUZ BIG SHOW LIVE LEO KWENYE MAGAZETI MAWILI MAKUBWA BONGO...
- Hayawi hayawi leo yamekuwa, hatimaye magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti ya leo Jumapili yameanza kubeba uchambuzi wangu wa Siasa na Michezo:- 1. Jambo Leo la leo Ukurasa mzima wa 18 kuna uchambuzi...
View ArticlePICHA KWA PICHA LIVE MPAKA KUPATIKANA KWA MSHINDI WA SHILLINGI MILLIONI 50...
Emmanuel Msuya jana alitawazwa mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013 kwenye fainali iliyofanyika kwenye ufukwe wa kiota cha Escape 1 jijini Dar es Salaam. Msuya aliwabwaga wapinzani wake wanne...
View ArticleTHIS IS AWESOME CHECK THIS OUT THE FUN AT CLUB ESCAPE ONE LAST NIGHT!!
Kinyanganyiro cha kumtafuta Super Star wa Bongo kupitia Epiq Bongo Star Search 2013 kimekamilika alfajiri hii kwenye ukumbi wa Escape 1.
View Article