Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CCM; Bw. Godfrey Mgimwa alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la kurudisha fomu hiyo.
Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CHADEMA; Bi Grace Tendega alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la kurudisha fomu hiyo ya ugombea.
Na Riziki Mashaka.
WAGOMBEA WA NAFASI YA UBUNGE KATIKA JIMBO LA KALENGA KUTOKEA VYAMA VYA CCM NA CHADEMA WALIPOKUWA WANARUDISHA FOMU HIZO LEO KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO KATIKA ENEO HILO LA MANISPAA YA IRINGA, MWAKILISHI WA CCM NI GODFREY WILLIUM MGIMWA NA KUPITIA CHADEMA NI GRACE TENDEGA AMBAO WOTE WATAANZA KAMPENI ZAO SIKU YA KESHO YA TAREHE 19/02/2014