Kocha Ahly agoma kujiuzulu, aisubiri Yanga
Wachezaji wa timu ya Yanga wakiwa mazoezini kujiandaa kwa ajili ya mzunguko wa pili wa ligi kuuKOCHA Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Mohammed Youssef, ameziba masikio na kutupilia mbali kelele za mashabiki...
View ArticleMAJANGAZII....Denti wa Darasa la 5 Afungwa Minyororo na Shangazi yake ili...
KATIKA hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dorah Joseph (34) anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumfunga mnyororo mtoto wa kaka yake aitwaye Happy Joseph (13)...
View ArticleANUSURIKA KIFO BAADA YA KUJIRUSHA KWENYE MABANDA YA KUHIFADHIA CHUI
Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari.Mwanamume huyo alitaka...
View ArticleNI KUFA AMA KUPONA LEO MAN CITY V/S BARCELONA
UEFA CHAMPIONS LEAGUERaundi ya Mtoano ya Timu 16 RATIBA Jumanne Februari 18 22:45 Manchester City vs FC Barcelona 22:45 Bayer 04 Leverkusen vs Paris Saint-GermainJumatano Februari 19 22:45 AC Milan vs...
View ArticleKWELI HUYU MZUNGU KIBOKO ...AAMUA KUWA BODABODA...SERIKALI YA CHACHAMAA...
Hapa Mzungu huyo akiwa kijiweni maeneo ya Bamaga akisuburi wateja.
View ArticleKWA MARA YA KWANZA MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA KWENDA BONGO...
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI Â KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA Â 2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAMMSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPOÂ MKURUGENZI NA...
View ArticleHABARI ZA KWANZA ZA MWANAFUNZI KUJINYONGA LIVE SOMA SABABU!!
0Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Ualimu cha Winneba, nchini Ghana, amejiua kwa kujinyonga mara baada ya jina lake kubandikwa kwenye ubao wa matangazo (notice board) kuwa amefeli masomo...
View ArticleNAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AIOMBA MAHAKAMA KUU IITUPILIE MBALI KESI...
NAIBU Mwanasheria Mkuu, Mhe George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi ya...
View ArticlePANDU KIFICHO ACHAGULIWA MWENYEKITI WA MUDA WA BUNGE LA KATIBA
Spika wa Bunge la Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho amechaguliowa kwa kura zaidi ya 300 kushika nafasi ya Uwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba jioni hii.
View ArticleHAWA NDO MATAJIRI WAKUBWA TANZANIA NA VYANZO VYAO VYA MAPATO VIKO HAPA....
R. MengiWAFANYABIASHARA watano, Said Bakhressa Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, wametajwa na Jarida la Ventures Africa linalozungumzia masuala mbalimbali ya uchumi wa Afrika...
View ArticleTAZAMA PICHA ZA JENGO AMBALO LIPO CHINI YA MAJI KWA KINA CHA FUTI 130 NA...
A maze of white temples, memorial arches, paved roads, and houses... hidden 130 feet underwater: this is China's real-life Atlantis.The so-called Lion City, tucked in a lake between the Five Lion...
View ArticlePICHA WAGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA WALIPORUDISHA FOMU ZAO LEO
Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la Kalenga kupitia CCM; Bw. Godfrey Mgimwa alipokuwa anatoka baada ya kukamilisha zoezi lake la kurudisha fomu hiyo.Mgombea wa nafasi ya ubunge katika jimbo la...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- MCHAWI AANGUKA USIKU AKIWANGA NA KUGEUKA KUKU KAMA...
HALI ya taharuki iliyoambatana na imani za kishirikina iligubika Jiji la Arusha kufuatia mwanamke ambaye hakufahamika jina kudondoka na ungo wa kishirikina asubuhi ya Ijumaa iliyopita kisha ghafla...
View Article