"HAPPY BIRTHDAY SPECIAL ONE
Siku ya leo imekuwa muhimu sana katika maisha yangu.Mama yangu kipenzi amejaliwa na mungu kusherehekea Miaka 50 ya maisha yake.
Hakika hii ni zawadi nzuri ambayo kama mtoto umetulea vizuri na umetufundisha.mungu akupe umri ili nasi tuje kukulea kama ulivyotulea au tunavyowalea wajukuu zako.
Ninakupenda sana Mama na mungu akupe uhai.Amin"