Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAMIA YA WANANCHI WAJITOKEZA KWENYE TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LA ANGELS MOMENT ONA HAPA DAR LIVE!!

$
0
0

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima akizungumza na wanasemina (hawapo pichani) juu ya lengo la semina hiyo. Bi Naima aliwasihi wanasemina hao kuzingatia wanayofundishwa ili kutimiza malengo yao ya uwekaji akiba.



 Baadhi ya wanawake na vijana walioshiriki Semina ya Wanawake na Akiba.

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima akizungumza na Afisa Uhusiano na Uhamasishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Bi Agnes Lubuva wakati wa Semina ya Wanawake na Akiba, ikiwa ni muendelezo wa siku tatu za Tamasha la Mwanamke na Akiba.

 Tamasha halikuwaacha nyuma wanawake na vijana wenye uhitaji maalum. Pichani ni mtaalam wa lugha za alama alikuwepo kurahisisha mawasiliano na wanasemina wenye ulemavu wa kusikia. Pamoja na watu wenye ulemavu wa ngozi.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>