I LIKE THIS MAN... MASANJA MKANDAMIZAJI AWACHANA LIVE WABUNGE WANAO SEMA LAKI...
“Ingekuwa ni mimi ningeclear mabweni mawili matatu UDOM, Wabunge Bunge la Katiba (wawili wawe wanashea room moja) wangepata pakulala na msosi cafeteria na posho 50,000 kwa siku, usafiri wa to and from...
View ArticleROONEY ASAINI KUBAKI MANCHESTER UNITED MPAKA 2019
Wapenzi wa Manchester united hii itakuwa habari ya nzuri kwao kwasababu mtu muhimu kwenye kikosi chao amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.Rooney amesaini mkataba wa...
View ArticleWAYNE ROONEY ASAINI MKATABA WA KUICHEZEA MANCHESTER UNITED MPAKA 2019
Wapenzi wa Manchester united hii itakuwa habari ya nzuri kwao kwasababu mtu muhimu kwenye kikosi chao amesaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu hiyo kwa muda mrefu zaidi.Rooney amesaini mkataba wa...
View ArticleILE MUVI YA WABONGO WA DMV/USA SASA INOGILE ONA HII NI HABARI TOKA KWA MDAU...
Police make Arrest for Identity Theft Investigators from the Montgomery County Police Fraud Section arrested a Silver Spring man for charges related to identity theft on October 18.On September 28,...
View ArticleTIZAMA SHOW LA LEO LIVE LA SUPER STAR DIAMOND IN MWANZA DOWNTOWN...
Wakitoka hotelin kuelekea viwanja vya furahisha,ilipofanyikia show Zamu ikawadia Nikamaliza hivi...!!! Huyu binti mdogho kwa mapenzi kabisa ,hakuona taabu kupenya msongamamno wa watu ili tu apate...
View ArticleMAMIA YA WANANCHI WAJITOKEZA KWENYE TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA LA ANGELS...
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima akizungumza na wanasemina (hawapo pichani) juu ya lengo la semina hiyo. Bi Naima aliwasihi wanasemina hao kuzingatia wanayofundishwa ili...
View ArticleNA HII NDIO HABARI KAMILI MWEZI ULIOPITA PEKE YAKE BLOG HII ILIPITIWA NA...
Pageviews today 55,501Pageviews yesterday61,606Pageviews last month1,270,875Pageviews all time history7,174,636
View ArticleTAZAMA PICHA JINSI SHOW YA MCHEKESHAJI MAARUFU BASKET MOUTH ILIVYOJAZA NYOMI...
Hii ni show aliyofanya msanii Basket Mouth kutoka Nigeria, jamaa ni mkali sana wa kuchekesha. Tiketi zilianza kuuzwa wiki moja kabla na zilishambuliwa kama utituli. Maajabu ya show hii ni kua mwanzo...
View ArticleFUMANIZI LA AIBU TANDIKA DAR...MKE APATA KICHAA BAADA YA KUMFUMA LIVE MUMEWE...
NI kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni! Fumanizi la aina yake lilitokea juzikati asubuhi ya saa 2, Mtaa wa Mbwela, Tandika jijini Dar ambapo mjamzito aliyejulikana kwa jina la Semeni alipata...
View ArticleMIMI NILIACHWA HIVI..JE WEWE ULIACHWA VIPI NA MPENZI WAKO?
Katika haya mahusiano ya Kimapenzi, ktk kuachwa na wapenzi, nyie mliachwa kwa style gani? Mimi ktk mahusiano kadhaa niliachika hivi:Kuna mmoja tulipendana sana, yaani sana, huyu nilisoma nae A- level,...
View ArticleSababu za wanaume kuota matiti
Kitaalamu, tatizo hilo hujulikana kama, gynecomastia nalo ni kukua kuliko kawaida kwa tishu ya kwenye titi inayojulikana kama glandular tissueTatizo la kuota matiti kwa wanaume na watoto wa kiume...
View ArticleLIBYA HALI SI SHWARI KABISA...
Makundi mawili ya wanamgambo yenye usemi mkubwa ambayo awali yalitangaza kulitaka bunge la mpito kujiuzulu au wabunge wakamatwe, sasa yanasema makundi ya kisiasa nchini humo yana muda wa masaa 72...
View ArticleMugabe 90-Mambo tisa usiyoyajua kumhusu
Robert Mugabe amefikisha miaka 90 hii leo na wikendi hii kutakuwa na sherehe si haba nchini Zimbabwe kusherehekea maisha marefu ya kiongozi huyo.Alizaliwa katika kijiji cha Kutama, kusini-magharibi mwa...
View ArticleKWELI MAJANGAZI...ALIYE BAKWA NDO KAHUKUMIWA
Adhabu ya Zinaa nchini Sudan ni kupigwa mawe hadi kufaMwanamke mmoja raia wa Ethiopia anayesema kuwa alibakwa na genge la watu nchini Sudan amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela kwa kosa la kufanya...
View ArticleWASANII WAWAOMBA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA WASANII
Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR SHILOLE AJA NA MUPYA SOMA ALICHOKISEMA SASA...
STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa huwa anawashangaa wasichana wasiopenda kujisitiri kwa kuvaa nguo za ndani ‘makufuli’.Zuwena Mohamed ‘Shilole’Akistorisha na...
View ArticleBARCELONA YACHAPWA 3–1 NA REAL SOCIEDAD
Barcelona,Ikiwajumlisha Lionel Messi, Neymar and Andres Iniesta, ambao walikuwa mwiba kwa Manchester City katika wiki iliyopita katika kombe la mabingwa wa ulaya wamepokea kichapo kutoka kwa timu ya...
View Article