Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta (mwenye koti jeusi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba mpya.Baadhi ya viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini wakibadilishana mawazo jana wakati walipofika kwenye eneo la Mkutano Maalum wa Bunge Maalum kwa lengo la kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba mpya.Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) akibadilishana mawazo jana wakati Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Stephen Ngonyani (kulia) na Dkt. Hamis Kigwangalla (wa pili kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka mashirikisho mbalimbali ya wasanii wa nchini . Viongozi hao walikuwa mjini Dodoma jana kwa ajili ya kuwaomba wajumbe wa mkutano huo kuzingatia masuala ya wasanii katika maboresho ya rasimu ya Katiba mpya.Picha na MAELEZO-Dodoma
↧