Barcelona,Ikiwajumlisha Lionel Messi, Neymar and Andres Iniesta, ambao walikuwa mwiba kwa Manchester City katika wiki iliyopita katika kombe la mabingwa wa ulaya wamepokea kichapo kutoka kwa timu ya Real Socieded kutoka spain hapo jana.
Alex Song alijifunga goli la kwanza mnamo dakika ya 32 lakini dakika nne baadae Messi aliweza kusawazisha bao hilo.
Antoine Griezman alifunga goli la kuongoza mnamo dakika ya 54 na David Zurutuza alipeleka kifo kwa wanacatalunya hao kwa kushindilia goli la tatu kabla ya mpira kumalizika.
VIKOSI: Real Sociedad: Bravo; Zaldua, Mikel González, Iñigo Martínez, José Ángel; Elustondo, Markel Bergara; Zurutuza, Canales, Griezmann; Vela.
Subs: Zubikarai, Carlos Martínez, Seferovic, Xabi Prieto, Rubén Pardo, Ansotegi, Ros.
Barcelona: Valdés; Montoya, Piqué, Bartra, Adriano; Busquets, Song, Iniesta; Pedro, Messi, Neymar.
Subs: Pinto, Mascherano, Alves, Xavi, Tello, Fàbregas, Alexis.