Mkurugenzi Mtendaji Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na bongo movie iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam 21 Februari-2014 lengo la semina hiyo ilikuwa kuzungumzia hakimili kwa wasanii pamoja na kujiunga na mifuko ya jamii ili kujiwekea akiba ya baadae (kushoto), Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafiri Mbibo (watatu kulia), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka, na wakwanza kulia Kaimu Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya.
Mkuu wa Mawasilano Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mfuko Hifadhi Nchini (SSRA), akiwaelezea wasanii kuhusiana na
mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF juu ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi kisanii au kupatwa na matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya (kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.

Afsa Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki (EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie pamoja na muziki,
Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwaezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa.
Afsa wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary nae akiwaelezea wasanii kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba.
Mwenyeki wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria kwenye semina pamoja na kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na namna ya kufuatilia upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.
Wasanii mbalimbali wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali wakati wa semina hiyo.
Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.
Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM