Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA MAALUM YA WASANII KUHUSU PENSHENI YAFANYIKA LEO LIVE!!

Mkurugenzi  Mtendaji  Kampuni ya Chief Promotion Amoni Mkoga akitoa hotuba yake wakati wa semina ya wasanii wa Muziki pamoja na bongo movie iliofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADHI YA MASUPER STAR WA DUNIA WALIOKUFA NA UKIMWI LIVE!!

Fela KutiHuyu alikua muanzilishi haswaa wa Afro-beat.Alikua Star wa kimataifa kutoka Nigeria  aliyeenda chuo  huko Los Angeles , Marekani kusomea udaktari akajikuta anaingia kwenye muziki. Kuti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA:MWALIMU ALIYEMCHINJA KIKATILI MWANAFUNZI WAKE NAYE AUAWA...

Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar, ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam, ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi wake.Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa madrasa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMA ULIKUWA HUJUI THE MIGHTY MBEYA CITY ONA KILICHOWATOKEA JANA LIVE KWENYE...

Coastal union 2 Mbeya city 0 HERE COMES THE GAME CHANGER no. 10 MOHAMED MTINDI The MAX MAN The KILLER. ANAINGIA MBADILISHAJI MCHEZO na. 10 MOHAMED MTINDI "MLENGA SHABAHA NA MUUWAJI".

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILA KUJALI PESA JANETH JACKSONY AMPA TARAKA MUMEWE BILLIONARE

 LIMAO TOKA KWA MDAKU WA ANGAZA TZ  ANASEMA KUWA CHANZO NI KUWA JAMAA HUYU RAIA WA QUA-TAR JINA ANAITWA WISSAM ALIKUWA NI MTU WA MASAFAFA KILA WAKATI BILA KUMJALI MKEWE JANETH AMBAYE NI MTULIVU SANA,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NA HAYA NDIO MAJINA 10 YA WASICHANA NA 10 YA WAVULANA BORA KITAIFA ON MATOKEO...

Watahiniwa wa kike wamefanya vizuri kwa kuchukua nafasi saba kati ya 10 za juu, huku Shule ya Marian Girls ya Pwani ikiongoza kwa kuwa na wanafunzi wanne.Mwanafunzi aliyeongoza ni Robina Nicholaus wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAZETI LA MWANANCHI LATAKA MBUNGE ALIYEFOJI KUINGIA NA MKEWE BUNGE LA KATIBA...

Mwenyekiti wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emannuel Makaidi akichangia jambo kwenye kongamano siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa taifa la ajabu na masikitiko yetu ni kwamba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZ:- ILE ISHU YA POSHO NA WABUNGE WA KATIBA DODOMA SASA NI DEAD...

Julius S. MtatiroONGEZEKO LA POSHO LIMEKWAMA; Binafsi namshukuru sana mungu! Taarifa rasmi ambazo nimezithibitisha kutoka katika vyanzo muhimu na vya kuaminika vya bunge, serikali na wadau wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- HABARI ZA AIBU YA WASANII WA BONGO MUVI HUKO DODOMA...

WAKATI mchakato wa Bunge la Katiba ukianza leo mjini Dodoma, ishu hiyo imemtia kwenye tope Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba baada ya kukwaa skendo ya ‘kutoka’ na...

View Article


WAZIRI WA CCM ASISITIZA KODI KULIPWA TU HATA KAMA NI KWA EFD AU ANYTHING KODI...

Waziri wa fedha: Serikali haitarudi nyuma matumizi ya mashine za EFD Leo 22/02/2014 Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya amesema kuwa Serikli haitarudi nyuma kwenye matumizi ya mashine za kielectroniki,...

View Article

"Lisanga Ya Banganga" THE FIRST SONG PLAYED BY DUO FRANCO MAKIADI & TABU LEY...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HII PICHA YA BONGO MUVI STARS STEVE NYERERE NA SANDRA YAZUA KIZAA ZAAA NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO KULE MWAKA-INSTAGRAM WALIANZA TOKA ASUBUHI ONA SASA ALICHOTUPIA SUPER...

MAKUBWAA...Jacqueline Wolper AJIANIKA LIVE AKIFANYIWA MASAJI...!!ATUPIA PICHAZ MTANDAONI SHUKA NAYO HAPA.. MAKUBWA! staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejianika akifanyiwa masaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER STAR LULU AKANUSHA UZUSHI DHIDI YAKE NA STEVE NYERERE LIVE!!

OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MAJANGAZ & BONGO:- MWANAUME ALIPOKUTA PICHA ZA UTUPU ZA MKEWE KWENYE SIMU...

Dalitso Muweso(35) anayeishi na mkewe bibie Madaliso Kambwiri(32),Jana alizifumania picha za mkewe huyo kwenye usb-disk(flash) ya Boss wake ofisini baada ya kutumwa kwenda kuprint documents muhimu za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA CCM SITA AIWEKA WAZI NI KWA NINI ANAGOMBEA KUWA BOSI WA BUNGE LA...

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta  Hii ni mara ya kwanza kwa Sitta ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Tisa kuweka wazi uamuzi wake huo. Mwingine anayetajwa ni Mwanasheria Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKIN NEWZZZ:- NA HII NDIO HABARI KAMILI YA MBONGO ALIYEBAKWA MPAKA KUFA...

AMA kweli dunia hadaa, ulimwengu shujaa! Kumeibuka mchezo mchafu, kuna Watanzania wanawachukua warembo nchini na kuwapeleka China kwa ahadi kwamba wanakwenda kufanya kazi saluni, wakifika kule...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIZAMA MISS UNIVERSE TANZANIA 2013 NAYE ALIVYOJITUPIA HUKO FACEBOOK WALLAHI...

Miss Universe Tanzania 2013 Betty Boniface

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NBA STAR ALIYEJITOA KUWA NI SHOGA SASA AKUBALIKA ZAIDI NA WACHEZAJI WA TIMU...

.Jason Collins arrives at a state dinner in honor of French President Francois Hollande at the White House on Feb. …From the moment that Jason Collins' announcement sent shockwaves through the sporting...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE FEKI WA KATIBA MPYA APIGWA STOP POSHO LIVE!!

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dk Thomas Kashililah  Akizungumza na gazeti hili jana katika Ofisi za Bunge mjini hapa, Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Thomas...

View Article
Browsing all 32622 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>