LIMAO TOKA KWA MDAKU WA ANGAZA TZ ANASEMA KUWA CHANZO NI KUWA JAMAA HUYU RAIA WA QUA-TAR JINA ANAITWA WISSAM ALIKUWA NI MTU WA MASAFAFA KILA WAKATI BILA KUMJALI MKEWE JANETH AMBAYE NI MTULIVU SANA, KITU AMBACHO JANETH MWENYE KIU YA MAPENZI NA MWANAUME HUYO ALIYE MPENDA KILIMUUMIZA SANA KWANI HATA MUDA WA KUENJOY NA JAMAA HAUKUWEPO, MUDA WOTE MISHE KITU AMBACHO KILIMPA HOFU SANA MWANADADA HUYO WA RIP MKALI WA POP, BY THE WAY KILA CHENYE MWANZO KINA MWISHO ACHILIA MBALIA BINTI KAOKOKA ,AKAMTOSA JAMAA..
↧