The Gymkana Sports Team |
The Jambo Leo Newspaper Team |
Mchezaji mwingine maarufu wa Gymkana, Mtoto wa Rais wa sasa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete ambaye ni mlinzi wa timu hiyo hapa ni kabla ya mchezo kuanza. |
Kusalimiana kabla ya mchezo wa nyuma Gymkana, naye pia mchezaji maarufu Super Kiwadinyo aliyekuwa beki pia wa timu hiyo. |