YALIYOJIRI JANA BUNGENI LIVE!!
Mchungaji Mtikila, ambaye jana alizungumza kwa utulivu wakati akitoa hoja zake za kuunga mkono kanuni inayotaka kufanya maamuzi kwa kupiga kura kwa siri. Viongozi hao ni Mwenyekiti wa Chama cha...
View ArticleHIVI NDIVYO BASI LA BUNDA LILIVYO GONGA TRENI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WANNE
 Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida. Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukiokinasema kuwa watu...
View ArticleHII NDIO TAARIFA KAMILI YA KWANZA KUHUSU KOCHA WA SIMBA KUWACHWA PEMBENI...
Uongozi wa Klabu ya Simba umeweka wazi kuwa suala la kumuongezea mkataba kocha wake mkuu wa sasa, Zdravko Logarusic limewekwa pembeni kwa kuwa wanasubiri kuona mwelekeo wa timu yao ambayo imekuwa haina...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- RED HANDED MWANAUME ANASWA NA MKE WA RAFIKI YAKE GESTI...
Na Mwandishi WetuMAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu...
View ArticleCHADEMAZ MNAONA NYOMI HII KIJIJINI HUKO KALENGA,MWIGULU AENDELEA KUFUNIKA
Mwigulu anasema"Mchakamchaka Unaendelea Kalenga,Hii leo kazi imefanyika Kijiji Cha Kidamali.Tunafanya kazi ya Kuhakikisha Tar.16/03/2014 Ushindi wa Kishindo Unapatikana kwa Chama Cha Mapinduzi....
View ArticleHUYU NDIYE MAREHEMU PROFESSOR RWEYEMAMU ALIYEKUWA MSHAURI MKUU WA UCHUMI WA...
Watanzania Mashuhuri MTANASHATI WA ZAMANI.Pichani ni Mwanazuoni Nguli, Mchumi Mwenye Uwezo na Msomi Maarufu wa Kitanzania Profesa Justian Ferdinand Rweyemamu ambaye anaonekana Mtanashati Katika Vazi...
View ArticleDTBI & COSTECH WAINGIA MKATABA NA SILION VALLEY YA USA SOMA HAPA LIVE!!
Bw.Carl Davis Jr, Rais wa Silicon Valley Black Chamber of Commerce na Eng. George Mulamula, Mkurugenzi Mtendaji wa DTBi (kulia) wakisaini MOU.Na Mwandishi Wetu, MOblog TanzaniaKAMPUNI tanzu ya Tume ya...
View ArticleJANA ULIFANYIKA MCHEZO WA KIRAFIKI WA SOKA BAINA YA GYMKANA SPORTS Vs JAMBO...
The Gymkana Sports TeamThe Jambo Leo Newspaper TeamKati kati mmoja wa Wachezaji maarufu wa Gymkana, Katibu wa Yanga Afrika Deo Sanga live akiwa amevaa jezi nyekundu kama ya maadui wa kubwa Yanga...
View ArticleTHE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR WA BONGO MUVI MBEBEZ AANDAMWA NA UGONJWA...
MASKINI AMANDA, GONJWA LISILOELEWEKA LAMTESA Stori: Gladness MallyaSTAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao haujulikani.Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina...
View ArticleNA HAYA NDIO MATOKEO YA MECHI YA JANA LIVE GYMKANA SPORTS Vs. JAMBO LEO...
Jambo Leo Newspaper 4Â -Â Gymkana 1.
View ArticleEXCLUSIVE:- PICHA ZA KWANZA SHEHE NA MTOTO WAKE WALIOMWAGIWA TINDIKALI ARUSHA...
SHEHE wa msikiti mkuu wa bondeni, Arusha Mustapha Mohamed Kiago (49) akiwa yupo nje ya wodi za watoto hospital ya mkoa maunt meru akisubiri mtoto wake apate kitanda na yeye aende wodin kupata matibabu...
View ArticleLE MUTUZ LAST NIGHT LIVE AT THAI VILLAGE HABARI YA MUJINI SKYLIGHT BAND &...
The Habari ya Mujini bongo Skylight Band live last night kama kawaida ya Ma-Friday Night u know kila Ijumaaa check them out kesho live at Escape 1 Beach Club. Kama kawa the Fans of this Blog at Thai...
View Article