MASKINI AMANDA, GONJWA LISILOELEWEKA LAMTESA
Stori: Gladness MallyaSTAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu ambao haujulikani.Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”GPL