Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZ:- CHAIRMAN JUMA PINTO ACHAGULIWA TENA KWA KURA 95% KUWA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO TANZANIA LEO TENA LIVE!!

$
0
0


Chairman Juma Pinto, akisalimiana na Bingwa wa zamani wa Ngumi za kulipwa Duniani Nelson Azumah alipomtembelea ofisini kwake mjini Accra/Ghana ambako Chairman Pinto, alipitia akitokea Lagos wiki iliyopita.
Chairman Juma Pinto, wiki iliyopita akirudisha rasmi fomu yake ya kugombea Uenyekiti wa Taswa kwa Ofisa wa Idara ya habari ya Taifa Bw. Hussein Idara ya maelezo Dar.


Chairman Juma Pinto akiwa na team nzima mpya ya Viongozi wa Taswa leo baada ya kuchaguliwa rasmi kwenye uchaguzi wa Chama hicho uliofanyika Water Front View mjini Dar na kuhudhuriwa na wapiga kura 101 kwa mujibu wa katiba ya chama hicho kati yao Mwenyekiti huyo alichaguliwa kwa kura 95% kukiongoza tena chama hicho kwa Miaka 5 ijayo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>