HAaa!! shilole unahatari wewe......bongo movie waki mshangilia shilole akikatika
Pichani juu ni baadhi ya taswira za Red Carpet ya Usiku wa Kigodoro ndani ya ukumbi wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem, jijini Dar es Salaam.
kiruuu! shishi beiby .....akimwaga maunoo mpaka mtandio unaangukaa