Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MFUKO WA PENSHENI PPF LEO ULIPOKUTANA NA WAANDISHI NA WADAU HAPA MJINI DAR + MKURUGENZI WA MFUKO MR. ERIO HUKO LIVE!!

$
0
0

 
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,William Erio (kulia), akizungumza wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo. 
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absolom Kibanda, akizungumza wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano ambao pia ni waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati wa  mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam .
Meneja wa Huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel akisisitiza jambo wakati akitoa mada kwenye mkutano ulioandaliwa na PPF kwa waandishi na wadau wa habari katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo.
Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janeth Ezekiel (katikati) na maofisa wengine wa PPF wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel (hayupo pichani) wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
 Dk Isaac Maro wa Afya Check akizungumza wakati  wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
 
Timoth Kahoho (wa kwanza kushoto) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio wakati wa mkutano huo.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Kituo cha Luninga cha ITV, Fatma Almas Nyangasa wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.
 
  Timoth Kahoho (katikati) na waandishi wenzake wakifuatilia kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na Meneja Huduma kwa Wateja wa Mfuko Wa Pensheni wa PPF, Godfrey Mollel wakati wa mkutano na waandishi na wadau wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam leo.
 
Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa waandishi na wadau wa Habari uliondaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF pamoja na timu yake nzima kutoka Ofisi ya PPF Makao Makuu.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>