HONGERA SANA NDG.RIDHIWANI JAKAYA MRISHO Ridhiwani Kikwete KWA KUONGOZA KURA ZA MAONI 758,
TRH 9/3 KUCHUKUA FOMU
TRH 11/3 KURUDISHA
UZINDUZI RASMI WA KAMPENI TRH 15/3 CCM TUTAZINDUA RASMI
WALIOPIGA KURA 1321 ZILIZOHARIBIKA NI 5, KURA HALALI 1306.