Juzi Maraisa wa KiAfrica, Mabillionea, Wafanya Biashara Matajiri, Wasomi na ndugu pia walipata fursa ya kuhudhuria harusi ya mtoto wakike wakwanza wa Raisi Robert Mugabe aitwae Bona.
Kwenye harusi io wageni waliokadiliwa kufika 4000 walipata pia fursa ya kuona Mjengo wa familia ya Mugabe ambao ulikua mjengo wa siri kwa miaka mingi sana
Msemaji wa Raisi Mugabe anaejulikana kwa jina la George charamba amesema Nyumba io ya Mugabe thamani yake ni zaidi ya Millioni 10 za kimarekani , ilitengenezwa kwa michango kutoka Zanu PF pamoja na wengine wasiojulikana
hizi ndio Picha chache za harusi io na pamoja na jumba ilo