"ETI WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZUZA WILAYANI KWANGU KWA MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO ! NIMEKASIRIKAJE ! NIMEWACHIMBA MKWARA SITAKI KUWAONA KABISA NA WAMESAINI KIAPO CHA KUTOFANYA SHUGHULI HIZO HAPA WILAYANI KWANGU !"