THE MAJANGAZ & BONGO:- SUPER STAR LINAH SANGA AFUNGUKA LIVE ON KUTUMIA...
Stori: Gladness MallyaMSANII wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi kutumia kinga.Esterlina Sanga...
View ArticleBAADA YA KUZENGULIWA NA MZUNGU MAGUMASHI SHOGA SASA SUPER STAR SHILOLE AMPATA...
Wasanii wa muziki Shilole na Nuhu Mziwanda wameamua kuweka wazi uhusiano wao wa kimapenzi na kudai kuwa wapo tayari kufunga ndoa. Akizungumza na U heard ya XXL, Clouds FM leo,Shilole na Nuhu wamesema...
View ArticleTHE BONGO & MAJANGAZ:- ONA HAWA WAGANGA WA KIENYEJI WALIPOKUTANA NA NO...
Subira Mgalu"ETI WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZUZA WILAYANI KWANGU KWA MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO !...
View ArticleLE BAHARIA STRAIGHT TALK LIVE JAMMING ON ONE THING I HATE IN THIS LIFE!!
@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- KATIKA MAISHA HAKUNA KITU NAKICHUKIA NA KUKIOGOPA KAMA UMASIKINI, COZ UKIUENDEKEZA KWANZA UNACHUKUA AKILI YAKO YOTE NA NEXT UNAKULETEA CHUKI NA WIVU NA BINADAM...
View ArticleWAJUE WABUNGE 5 WANAO ONGOZA KUCHANGIA HOJA MARA NYINGI BUNGE LA KATIBA!!
Wajumbe watano wa Bunge la Katiba ndiyo wameongoza kwa kuchangia kwenye vikao hivyo.Dodoma. Tangu kuanza kwa Bunge Maalumu la Katiba, Februari 18 mwaka huu, wajumbe watano wanaonekana kuwa ndio...
View ArticleKURA ZA MAONI CHALINZE MTOTO WA RAIS NI MOTO WA KUOTEA MBALI SANA!!
Mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwani akipiga kura jana wakati wa kura za maoni za CCM kupata mgombea ubunge Jimbo la Chalinze kwenye Shule ya Sekondari Msata jana. Picha na Julieth Ngarabali Katika...
View ArticleUKISTAAJABU YA MUSA: MAHAKAMA "KUCHUNGULIA NGUO ZA NDANI SIO KOSA"
Mahakama moja imeatoa uamuzi kuwa kupiga picha watu za nguo za ndani kwa kupiga chabo (utaratibu unaojulikana kama “upskirting”) bila ridhaa ya mhusika sio kosa kisheria wakati akijibu suali muendesha...
View ArticleCHEKI HUYU MKUU WA WILAYA ALIVYO WATIMUA WAGANGA WAKIENYEJI WILAYANI KWAKE...
Subira Mgalu "ETI WAGANGA WENYEWE NDIO HAWA !WALIOKUWA WANAZUZA WILAYANI KWANGU KWA MINAJILI YA KUTOA WACHAWI NA KUSABABISHA SHUGHULI ZOTE ZA UJENZI WA TAIFA KUSIMAMA! YAANI HAWAJAI HATA KWENYE MKONO !...
View ArticleKAMA KAWAIDA YA WASANII WOTE SASA NAYE LUPITA NYONGO AMUANIKA MAMEN WAKE LIVE !!
The guy is none other than hiphop artist K'naan who is of Somali origin but now is a Canadian citizen. He is the guy into whose arms Lupita ran to after winning the much coveted Oscar Award. Now you know!
View ArticleTAIFA STARS YATOKA SARE NA TIMU YA TAIFA YA NAMIBIA LIVE!!
Kikosi cha Taifa Stars.Taifa Stars imefanikiwa kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Namibia katika mechi ya kirafiki iliyochezwa leo jijini Windhoek.Stars ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao...
View ArticlePICHA ZA KWANZA LIVE ZA KUONYESHA VURUGU ZA BUNGE LA KATIBA LEO MCHANA...
Sehemu ya Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba wakitawanyika mara baada ya mwenyekiti kuahirisha kikao kutokana na baadhi ya wajumbe kutoelewana katika hoja.Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ole...
View ArticleNA HUYU NDIYE MWANAFUNZI MBEBEZ ALIYEAMUA KUINGIA KWENYE PORNO ILI KUPATA...
The Duke University freshman who turned to a career in porn to fund her education identified herself Tuesday in an online column in which she revealed a photo of herself under her stage name, Belle...
View ArticleHATIMAYE BAADA YA KIMYA KINGI SANA BILIONEA WA IPP MZEE MENGI AFUNGUKA LIKE...
Reginald Mengi"Please join me in thanking God for the International Order of Lion Award for Unselfish Dedication to Humanity I received last night" Like· · Share· @regmengi on Twitter· Yesterday at...
View ArticleNGUZO YA UMEME YADONDOKEA NYUMBA KINONDONI LEO LIVE KISA MVUA
Nguzo ya umeme ikiwa juu ya paa baada ya kuanguka leo huko Mkwajuni, Kinondoni.Mkazi wa jijini akipita jirani na nguzo hiyo iliyoanguka. Nguzo inavyoonekana kwa mbali.(PICHA/HABARI: SHAKOOR JONGO/GPL)
View ArticleNA HUYU NDIYE MOODY SEBENE MCHEZAJI MAARUFU WA GYMKANA SPORTS CLUB NA MPENZI...
Moody Sebene wa kwanza kushoto mchezaji maarufu wa Gymkana Club na mpenzi namba moja wa Yanga live!!
View Article