$ 0 0 Nguzo ya umeme ikiwa juu ya paa baada ya kuanguka leo huko Mkwajuni, Kinondoni.Mkazi wa jijini akipita jirani na nguzo hiyo iliyoanguka. Nguzo inavyoonekana kwa mbali.(PICHA/HABARI: SHAKOOR JONGO/GPL)