$ 0 0 HABARI HIZO ZIMETUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA KUWA BASI HILO LIMEPINDUKA MAJIRA YA SAA NANE MCHANA HUU WAKATI BASI HILO LIKIJARIBU KULIPITA GARI LINGINE AMBAPO HABARI HIZO ZINASEMA BASI HILO LILIKUWA LIKITOKEA ARUSHA KWENDA DAR ES SALAAM..PICHA ZAIDI ZITWAJIA HIVI PUNDE..