Mwenyekiti wa Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti kuhusu Kanuni za Bunge Maalum la Katiba, Profesa Costa Mahalu (kulia) akiteta na wajumbe wa kamati hiyo Bungeni Mjini Dodoma baada ya Semina ya Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba kuahirishwa Machi 7, 2014.
↧