Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MWALIMU WA MAREHEMU DR. MGIMWA ALIPOMUOMBEA KURA MTOTO WAKE KALENGA LIVE!!

$
0
0


1Mzee Philip Mangula Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara akimkumbatia mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa kwenye eneo la Tosamaganga kata ya Kalenga mahali ambapo mkutano wa hadhara wa kampeni umefanyika leo ikiwa ni mfurulizo wa mikutano hiyo iliyofanyika katika vitongoji na vijiji vya kata ya Kalenga. Uchaguzi wa jimbo la Kalenga unatarajiwa kufanyika Machi 16 jumapili ijayo ambapo Mzee Philip Mangula amewaomba wananchi wa Kalenga kumchagua Godfrey Mgimwa wa CCM kwa kura nyingi za ndiyo.(PICHA NA KIKOZIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 1aSister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga na mwalimu wa Marehemu Dr.William Mgimwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo akitoa ushuhuda wake na kufurahia kumuona mjukuu wake Godfrey Mgimwa akigombea ubunge katika jimbo la Kalenga Sister Paula amekiri na kusema Marehemu Dr.William Mgimwa alipenda sana somo la hesabu na alikuwa ni mwanafunzi mwenye kipaji na nidhamu 2aSister Paula Msambwa miaka 75 ambaye pia ni muuguzi katika hospitali teule ya Tosamaganga akimuonyesha mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa na kusema nimefurahi sana kuona mjukuu wangu akigombea ubunge.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>