- Wabunge wengi wameridhia Azimio la Kuunga mkono Kanuni za Bunge Maalum.
- Mwenyekiti alitoa tangazo la uchaguzi wa Mwenyekiti wa kudumu; Kwamba uchaguzi utafanyika Kesho saa 10 jioni na kwamba fomu zinapatikana kwenye ofisi za Katibu wa Bunge na wa Baraza la wawakilishi.
- Ghafla Mch. Mtikila alihoji ""Kwa nini sipewi nafasia kuongea? Mi sina neno la baraka kwa nchi yangu? ..."